Nsajigwa asifu 'upambanaji' wa wachezaji Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
•
4 Feb 2018
Nsajigwa asifu 'upambanaji' wa wachezaji Yanga
Kocha Msaidizi wa Yanga amewasifu wachezaji wake ambao jana wamefanikisha ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Lipuli FC.

Akizungumza baada ya mchezo huo jana, Nsajigwa amesema umoja wa wachezaji wa Yanga umeiwezesha timu hiyo kuibuka na ushindi dhidi ya Lipuli FC iliyokuwa katika kiwango kizuri.

“Siri ya mafanikio ni umoja wa timu, ukiangalia timu yetu ina majeruhi wengi lakini moyo walionao wachezaji wa kuitumikia timu yao ndio umeleta matokeo ya ushindi.”

“Lipuli walicheza vizuri kipindi cha kwanza na kutengeneza nafasi ambazo hawakuzitumia sisi tukapata nafasi tukatumia.”

Yanga ina wachezaji majeruhi zaidi ya 10 hata hivyo benchi la ufundi linastahili pongezi kwa kufanikiwa kutengeneza kikosi imara kisichotegemea mchezaji mmoja.

Kwani baadhi ya wachezaji wamekuwa wakikosekana tangu mwanzo wa msimu lakini Yanga imeendelea kupambana kufa na kupona kutetea ubingwa wake kwa msimu wa nne.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE →
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE →
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE →
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE →
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE →
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE →
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE →
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE →
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE →
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE →