Bado watatu wa kigeni wanasubiri utambulisho

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Jun 2022
Bado watatu wa kigeni wanasubiri utambulisho

Juzi Yanga ilimtambulisha mshambuliaji Lazarous Kambole aliyetua kwa Wananchi akitokea klabu ya Kaizer Chiefs, bado kuna wachezaji wengine watatu wanasubiri utambulisho

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano, Injinia Hersi Said amesema mpaka kufikia mwisho wa mwezi huu watawatambulisha nyota wote wa kigeni waliowasajili

"Tumemtambulisha Lazarous Kambole kama mchezaji wetu, bado kuna wachezaji wengine watatu ambao tutawatambulisha kabla ya mwezi huu kumalizika. Tuna changamoto ya muda mfupi wa dirisha la usajili CAF hivyo tumewataka wachezaji wetu wafike mapema ili tukamilishe taratibu zote za kuwasajili katika mfumo wa CAF," alisema Hersi

Nyota wengine wanaotajwa kuwa wamesajiliwa na Yanga ni pamoja na kiungo mshambuliaji wa Asec Mimosas Stephane Aziz Ki, mlinzi wa kushoto Mcongomani Jocye Lomalissa Mutambala anayecheza klabu ya Sagrada Esperanca ya Angola na winga Bernard Morrison kutoka Afrika Mashariki!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
6h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
21h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’