Mchezo wa mwisho Ligi Kuu NBC tarehe 29/06/2022 dhidi ya Mtibwa Sugar utachezwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam badala ya Uwanja wa kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid, Arusha kama ilivyotangazwa hapo awali

ADVERTISE HERE