Yanga kuivaa Njombe Mji kesho

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Feb 2018
Yanga kuivaa Njombe Mji kesho
Kikosi cha Yanga kesho Jumanne, Februari 06 kinatarajiwa kushuka kwenye uwanja wa Taifa kuivaa Njombe Mji kwenye mchezo wa ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa 16.

Yanga inaingia kwenye mchezo huo ikiwa na mwenendo mzuri baada ya kushinda michezo mitatu mfululizo. Ushindi wake wa hivi karibuni ni dhidi ya Lipuli FC mkoani Iringa.

Yanga imekuwa ikipata matokeo mazuri katika michezo yake licha ya kukabiliwa na idadi kubwa ya wachezaji majeruhi hivyo kuongeza imani kuwa itaweza kufanya vizuri kwenye mchezo dhidi ya Njombe Mji bila kujali nani yupo na nani hayupo.

Yanga inahitaji kuibuka na ushindi katika mchezo huo huku ikiombea Simba idondoshe pointi kwenye mchezo wao dhidi ya Azam FC keshokutwa, Jumatano.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’