Wananchi tayari wako mkoani Mbeya kuelekea shamrashamra za ubingwa ambazo zitajiri baada ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mbeya City ambao utapigwa Jumamosi Juni 25 katika uwanja wa Sokoine
Tiketi kuelekea mchezo huo zimeanza kuuzwa mapemaa na wenyeji Mbeya City
Viingilio wakubwa ni Tsh 10,000/- na watoto ni Tsh 5,000/-
Ni siku ya kihistoria kwa Yanga, Mwananchi wa Mbeya hakikisha umekamata tiketi yako mapema
ADVERTISE HERE