Mchezo dhidi ya Mbeya City umemalizika kwa matokeo ya sare ya bao 1-1, mchezo ukipigwa uwanja wa Sokoine
Heritier Makambo alifunga bao pekee la Yanga huku Mbeya City wakisawazisha kupitia mkwaju wa penati
Wananchi sasa wanasubiri kukabidhiwa ubingwa wao

ADVERTISE HERE