Dar ilisimama, Afrika ikatikisika!

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Jun 2022
Dar ilisimama, Afrika ikatikisika!

Tukio la sherehe za ubingwa lililofanywa na Yanga jana sio kwamba lilisimamisha jijini la Dar es salaam pekee, bali hata Afrika ilitikisika na dunia nayo ikafahamu kuna jambo linafanywa na Wananchi huko Tanzania

Pongezi za kocha Pitso Mosemane na hata ujumbe walioweka CAF katika kurasa zao rasmi za mitandao ya kijamii kuhusu tukio hilo, imedhihirisha ni kwa kiasi gani Wananchi wamefanya kitu cha kipekee

Msemaji wa Yanga Haji Manara aliahidi kuwa Yanga itawafundisha wengine hapa Tanzania vile wanapaswa kusherehekea ubingwa lakini somo hilo limekwenda Afrika nzima!

Wengi wameshangazwa na bila shaka kuanzia msimu ujao tunaweza kuona matukio hayo yakifanyika katika nchi nyingine barani Afrika

Wananchi wameweka alama kwa kuwaonyesha wengine kuwa hata Afrika tunaweza kuandaa matukio makubwa ya kufurahia mataji tunayoshinda kama wafanyavyo Ulaya

Kwa mara nyingine Yanga imedhihirisha kwa vitendo UKUBWA wake na vile mashabiki wake walivyo na mapenzi ya dhati kwa timu yao

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’