Kuna wachambuzi walianzisha mijadala huko kwenye mitandao ya kijamii wakihoji kwa nini Mwenyekiti wa klabu ya Yanga Dk Mshindo Msolla hajaonekana kwenye shamrashamra za ubingwa
Bila shaka wale walioanzisha mijadala hiyo wameyapata majibu, Dk Msolla bado ni Mwenyekiti wa Yanga na alishiriki kikamilifu katika kila hatua kwenye sherehe za ubingwa wa Wananchi


ADVERTISE HERE