Aziz Ki anaweza kutambulishwa Jumatano

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Jun 2022
Aziz Ki anaweza kutambulishwa Jumatano

Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amedokeza kuwa kiungo mshambuliaji Stephane Aziz Ki anaweza kutambulishwa siku ya Jumatano kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mtibwa Sugar ambao utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa

Usiku wa kuamkia Jumatano huenda Yanga ikathibitisha usajili wa nyota huyo kutoka klabu ya Asec Mimosas

Mkataba wa Ki na Asec unamalizika Juni 28 saa 5.59 usiku, kuanzia saa sita usiku Ki atakuwa mchezaji huru na Yanga wanaweza kumtangaza

"Kutegemea na taratibu za safari yake kutoka Ivory Coast, Aziz Ki tunaweza kuwa nae uwanjani siku ya Jumatano katika mchezo wetu dhidi ya Mtibwa Sugar"

"Sio yeye tu hata Kambole (Lazarus) tulimpa ruhusa kurejea Zambia baada ya kukamilisha taratibu za usajili lakini tumeandaa utaratibu maalum wa kuwatambulisha wachezaji wote tunaowasajili," alisema Bumbuli

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’