Mayele ampongeza Mpole kwa kuibuka mfungaji bora

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Jun 2022
Mayele ampongeza Mpole kwa kuibuka mfungaji bora

Mshambuliaji wa Yanga Fiston Mayele amempongeza mshambuliaji wa Geita Gold George Mpole kwa kuibuka mfungaji bora wa ligi kuu ya NBC

Mpole ametwaa tuzo hiyo baada ya kufikisha mabao 17, bao moja zaidi ya Mayele aliyepachika mabao 16

"Nichukue nafasi hii kutoka ndani ya moyo wangu kukupongeza Kwa jitihada zako kufanikiwa kuwa mfungaji bora Kwa kufunga mabao 17 katika msimu wa 2021/2022 nakutakia kila la kheri," aliandika Mayele kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii

Mpole alifunga bao lake la 17 katika mchezo wa mwisho dhidi ya Coastal Union wakati kwa upande wa Mayele yeye bao alilofunga katika mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar lilikataliwa na mshika kibendera aliyeshindwa kutafsiri vyema sheria ya kuotea

Mayele ni mchezaji muungwana na amedhihrisha uungwana wake kwa pongezi hizo alizotoa kwa mshindani wake

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’