Yanga yafuata taji la FA Arusha

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Jun 2022
Yanga yafuata taji la FA Arusha

Baada ya kumaliza msimu wa ligi kuu kwa kuweka rekodi ya kutopoteza mchezo, kikosi cha Yanga kinaelekea mkoani Arusha kwa ajili ya mchezo wa fainali kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) dhidi ya Coastal Union ambao utapigwa keshokutwa Jumamosi Julai 02 katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid

Wananchi wamedhamiria msimu huu kushinda mataji yote ya ndani wakiwa tayari wameweka kabatini Ngao ya Jamii na Ligi Kuu

Jana Yanga ilikamilisha mchezo wa mwisho kwenye ligi kwa kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar kocha mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi akiwapa mapumziko nyota wake muhimu kwa ajili ya mechi ya Jumamosi

Kama Yanga watafanikiwa kutwaa taji la FA basi wataweka rekodi nyingine ya kucheza msimu mzima pasipo kupoteza mchezo katika mashindano yote

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
5h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
6h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
19h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1d ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’