Mwamuzi Ahmed Arajiga atachezesha mchezo wa fainali kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) kati ya Yanga dhidi ya Coastal Union ambao utapigwa Jumamosi, Julai 02 katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha
Arajiga atasaidiwa na Frank Komba na Janeth Balama wakati mwamuzi wa akiba ni Ramadhani Kayoko
Arajiga ndiye aliyechezesha fainali ya michuano hiyo msimu uliopita
ADVERTISE HERE