Msafara wa kikosi cha Yanga umewasili salama mkoani Arusha kuelekea mchezo wa fainali kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) dhidi ya Coastal Union
Mchezo huo utapigwa Jumamosi, Julai 02 katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid








ADVERTISE HERE