Kikosi cha Yanga kilitua mkoani Arusha jana usiku tayari kwa mchezo wa fainali kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) dhidi ya Coastal Union ambao utapigwa kesho Jumamosi Julai 02 katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid
Wananchi wametua Arusha kwa lengo moja tu, kutwaa taji la FA ambalo litakuwa taji la tatu msimu huu
Hii ni mechi nyingine muhimu kwa Yanga, katika kupamba msimu bora na wa mafanikio kwa Wananchi
Mchezo utapigwa kuanzia saa tisa kamili Alasiri
ADVERTISE HERE