Yanga chini ya udhamini wa GSM Foundation wakiambatana na Mkuu wa Wilaya Arusha Mjini Said Mohamed Mtanda leo wametembelea kituo cha kupambana na matumizi ya dawa za kulevya kiitwacho Njiro Recovery Sober House, Arusha Mjini.
Huu umekuwa ni utamaduni wa Yanga katika kurudisha kwa jamii na kuweza kufanya kilicho bora ili kuleta furaha kwenye maisha ya kila mmoja






ADVERTISE HERE