Saa chache zimebaki kuelekea mchezo wa fainali kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) kati ya Yanga dhidi ya Coastal Union, mashabiki wameendelea kumiminika katika dimba la Sheikh Amri Abeid jijini Arusha
Mchezo utapigwa kuanzia saa tisa Alasiri, ambapo huenda kukawa na dakika 30 za nyongeza na baadae mikwaju ya penati kama mchezo utamalizika pasipo kupatikana mshindi



ADVERTISE HERE