Singida Big Stars wamethibitisha kumsajili mlinzi wa kulia wa Yanga Paulo Godfrey Boxer
Boxer ametua Singida Big Stars akiwa mchezaji huru baada ya mkataba wake na Yanga kumalizika
Boxer amekuwa sehemu ya kikosi cha Yanga kwa miaka minne, hata hivyo msimu huu amekuwa na wakati mgumu kupata nafasi ya kucheza
Tunamtakia kila la kheri katika timu yake mpya
ADVERTISE HERE