Wananchi wamekamilisha msimu kibabe wa kushinda taji la tatu baada ya ushindi wa mikwaju ya penati 4-1 dhidi ya Coastal Union
Ni baada ya matokeo ya sare ya mabao 3-3 katika mchezo ambao kwa hakika utabaki katika kumbukumbu ya wengi
Muhimu ni kuwa Wananchi wameshinda mataji yote msimu huu!
ADVERTISE HERE