Mgombea nafasi ya Urais wa Yanga Injinia Hersi Said na mgombea wa nafasi ya Makamu wa Rais Arafat Haji, leo watakuwa na Mkutano na Wanahabari
Mkutano utafanyika saa tano asubuhi Serena Hotel ikiwa ni uzinduzi wa kampeni za wagombea hao

ADVERTISE HERE