Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi anatalii mbuga za Serengeti baada ya msimu mzuri wa mafanikio
Nabi ana kila sababu ya 'kula bata' baada ya kuiongoza Yanga kushinda mataji matatu msimu huku Wananchi wakiweka rekodi ya kutopoteza mchezo wowote katika mashindano yote
Nabi leo atarejea Dar es salaam tayari kwa tuzo za TFF akitarajiwa kushinda tuzo ya kocha bora wa Msimu

ADVERTISE HERE