Mkutano Mkuu Maalum wa Uchaguzi wa Yanga umeanza ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere
Wanachama wanakwenda kuchagua Rais, Makamu wa Rais na Wajumbe watano wa Kamati ya Utendaji
Baada ya Uchaguzi huo kutakuwa na saprais kubwa kwa Wananchi...!

ADVERTISE HERE