RAIS
Injinia Hersi Said
MAKAMU WA RAIS
Arafat Haji
WAJUMBE KAMATI YA UTENDAJI
1. Yanga Makaga
2. Seif Gulamali
3. Rodgers Gumbo
4. Munir Selemani
5. Alexander Ngai
Rais Hersi ameahidi kuteua Mjumbe Mwanamke katika nafasi zake za uteuzi, akiweka bayana kuwa aliyekuwa mgombea nafasi ya Makamu wa Rais Mwanamama Suma Mwaitenda ataingia katika safu ya uongozi wake
ADVERTISE HERE