Kuanzia Jumatano, wachezaji wa Yanga wanatarajiwa kuanza kurejea kutoka mapumzikoni tayari kwa maandalizi msimu mpya wa ligi na michuano ya Kimataifa
Imeelezwa kuwa Yanga inaweza kuondoka nchini kati ya Julai 14-15 kuelekea nje ya nchi ambako wataweka kambi
Wananchi watarejea nchini baada ya wiki tatu kwa ajili kileleni cha wiki ya Mwananchi ambayo huenda ikafanyika August 06
Shamrashamra za wiki ya Mwananchi zinatarajiwa kuanza mwishoni mwa mwezi huu na zitahitimishwa August 06 katika dimba la Mkapa kwa Yanga kucheza mechi kubwa ya kirafiki
ADVERTISE HERE