Wachezaji saba wa Yanga wamejumuishwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' ambacho kitacheza mechi mbili za kuwania tiketi ya michuano ya CHAN dhidi ya Somalia
Nyota wa Yanga waliojumuishwa katika kikosi hicho ni Aboutwalib Mshery, Kibwana Shomari, Farid Mussa, Dickson Job, Bakari Nondo Mwamnyeto, Feisal Salum na Abubakar Salum 'Sure Boy'
Stars inatarajiwa kuingia kambini Julai 15 kujiandaa na michezo hiyo

ADVERTISE HERE