VAR kufanyiwa majaribio nusu fainali ligi ya vijana

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Jul 2022
VAR kufanyiwa majaribio nusu fainali ligi ya vijana

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limethibitisha kuwa teknolojia ya VAR itatumika kwa majaribio katika michezo ya nusu fainali ligi kuu ya Vijana U20

Michezo ya nusu fainali itapigwa Ijumaa ambapo Coastal Union waliowaondosha Simba hatua ya robo fainali watacheza na Mbeya Kwanza waliowaondosha Yanga hatua ya robo fainali

Mchezo mwingine ni kati ya Mtibwa Sugar dhidi ya Azam Fc

Hii ni dalili njema huenda teknolojia hiyo ikatumika katika baadhi ya mechi za ligi kuu msimu ujao

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’