Yanga imempa mkono wa kwaheri kiungo mshambuliaji Mapinduzi Balama 'Kipenseli' ambaye mkataba wake umemalizika
Majeraha yaliyomuweka nje kwa takribani miezi 18 yamechangia kwa kiasi kikubwa Wananchi kukosa 'kufaidi' kipaji chake

"Tunashukuru kwa Mchango wako wenye mafanikio kwa Young Africans SC. Tunakutakia kila la kheri na mafanikio uendako," Yanga Sc
ADVERTISE HERE