Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa Kocha Msaidizi wa Yanga Cedric Kaze
Alitua Yanga awamu ya kwanza akiwa Kocha Mkuu lakini hakuweza kufanikisha malengo, baadae Yanga ikamrejesha katika nafasi ya kocha msaidizi
Hatimaye akawa sehemu ya benchi la ufundi ambalo msimu uliomalizika limeweka rekodi ya kucheza msimu mzima pasipo kupoteza mchezo na kushinda mataji matatu
Katika siku hii ya kumbukumbu ya kuzaliwa, tunamtakia kila la kheri
HAPPY BIRTHDAY KAZE...!
ADVERTISE HERE