Usajili wa Stephane Aziz Ki bado unaendelea kuwatesa wale wachambuzi wa mchongo leo baadhi yao wakihoji Rais wa Yanga Injinia Hersi Said kupiga picha akifanya mazoezi na Aziz Ki wakidai ni tukio ambalo linaweza kuwagawa wachezaji
Wasichofahamu Injinia Hersi hakuanza kufanya mazoezi na wachezaji leo, umekuwa utaratibu wake kushiriki program za mazoezi pale anapokuwa na wasaa







ADVERTISE HERE