Yanga imewaweka sawa wanachama na mashabiki wake tayari kwa jezi mpya kwa ajili ya msimu wa 2022/23
Mzigo wa jezi unatarajiwa kuwasili kabla ya kilele cha wiki ya Mwananchi. Tukio ambalo linatarajiwa kufanyia August 06 2022
Shamra shamra za wiki ya Mwananchi zinatarajiwa kuanza mwishoni mwa mwezi huu

ADVERTISE HERE