Yanga imetangaza kuachana na wachezaji saba, baadhi wakimaliza mikataba na huku wengine wakifikia nao makubaliano
Wachezaji waliomaliza mikataba ni Deus Kaseke, Paulo Godfrey, Yassin Mustafa, Mapinduzi Balama, Saido Ntibazonkiza na Yacouba Sogne
Yanga imefikia makubaliano na Chico Ushindi ambaye anarejea katika klabu yake ya zamani, TP Mazembe
Yanga itaingia kambini na kikosi cha wachezaji 29 kujiandaa na msimu wa mashindano 2022/23
Wachezaji 17 ni nyota wa ndani na wachezaji 12 ni wakigeni
ADVERTISE HERE