Msimu uliopita Yanga ilishinda mataji matatu ikifanya mazoezi na kuweka kambi yake hapa Avic Town
Ni hapa hapa Avic Town kocha mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi amependekeza vijana wake wafanye maandalizi kuelekea msimu ujao
Avic Town kuna kila kitu kwa ajili ya timu ya mpira wa miguu
Kuna viwanja vya mazoezi, Gym, Swimming pool, nyumba za kuishi wachezaji na makocha


WANANCHI WATAFANYA MAANDALIZI YAO HAPA HAPA
ADVERTISE HERE