Beki kisiki wa Yanga, Andrew Vicent Chikupe ameanza kujifua baada ya kukosekana dimbani kwa siku kadhaa kutokana na majeruhi.
Chikupe aliumia kwenye mchezo wa kombe la FA dhidi ya Ihefu FC na kukosa michezo miwili ya ligi dhidi ya Lipuli na Njombe Mji.

Habari njema ni kwamba mlinzi huyo aliyecheza michezo yote ya mzunguuko wa kwanza ligi kuu ya Vodacom amerejea kuitumikia timu yake.
Kurejea kwake ni habari njema kwa kuwa sasa Yanga inajiandaa na mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya St Louis siku ya Jumamosi

ADVERTISE HERE