August 01, 2022 shamrashamra za wiki ya Mwananchi zitaanza kuelekea kilele cha wiki hiyo August 06 pale dimba la Mkapa ambapo utambulisho wa timu utafanyika kuelekea msimu mpya wa mashindano
Hii ni wiki ya Wananchi kweli, Wananchi watajitolea kufanya shughuli mbalimbali za kijamii kama kutoa misaada, usafi na kuchangia damu mahospitalini
Huu ni sehemu ya utamaduni wa Yanga, kurejesha kilicho bora kwenye jamii

ADVERTISE HERE