Msemaji wa klabu ya Yanga Haji Manara amefungiwa kujihusisha na soka kwa kipindi cha miaka miwili baada ya kupatikana na hatua katika tuhuma zilizokuwa zikimkabili dhidi ya Rais wa TFF, Wallace Karia
Aidha Manara amepigwa faini ya Tsh Milioni 20
Julai 02 2022 kwenye mchezo wa fainali kombe la FA kati ya Yanga dhidi ya Coastal Union uliopigwa mkoani Arusha, Manara alidaiwa kumtisha na kumdhalilisha Rais wa TFF,
Hukumu hiyo imesomwa leo na Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili, Kichere Mwita Waisaka
ADVERTISE HERE