Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amesema kikosi cha Yanga kimeingia kambini Avic Town kuanza maandalizi ya msimu mpya wa mashindano, 2022/23
Bumbuli amesema mpaka kufikia Jumapili, Julai 24 wachezaji wote watakuwa wako Avic Town kwa ajili ya maandalizi hayo
Amesema Yanga itakuwa na wachezaji 19 kambini, watawakosa wachezaji nane ambao wako katika timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars'
ADVERTISE HERE