Jana Yanga ilianza rasmi maandalizi ya pre-season kuelekea msimu mwingine wa ligi na michuano ya Kimataifa
Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi aliongoza mazoezi hayo ya siku ya kwanza akishirikiana na Kocha Msaidizi Cedric Kaze
Ni msimu mwingine ambao Yanga imedhamiria kuendeleza ubabe kwa kushinda mataji yote huku wakijipanga kufanya vizuri zaidi kwenye michuano ya Kimatiafa
ADVERTISE HERE