Kikosi cha Yanga leo kimeingia siku ya tatu ya pre-season kujiandaa na msimu mwingine wa ligi kuu, FA na ligi ya mabingwa
Leo asubuhi wachezaji walifanya program maalum ya Gym na jioni kuendelea na mazoezi ya mbinu pale Avic Town







ADVERTISE HERE