TFF itende haki kwa timu zote

Selemani Sudi By Selemani Sudi
β€’
26 Jul 2022
TFF itende haki kwa timu zote

Msemaji wa Yanga aliyefungiwa Haji Manara jana alifichua uzembe uliofanywa na TFF kupelekea timu hiyo kukosa fursa ya kuingiza mashabiki kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Rivers United mwaka jana

Manara alisema licha ya Yanga kuwataarifu TFF mapema, waliandika barua CAF nje ya muda na hivyo kupelekea Yanga kuzuiwa kuingiza mashabiki katika mchezo huo ambao walipoteza kwa kufungwa bao 1-0

Tukio hilo linaweza kutafsiriwa kama hujuma kwa Yanga kwani baadae Simba walicheza, TFF walihakikisha wanaruhusiwa kuingiza mashabiki

Huu ni ushahidi mwingine kuwa Yanga imekuwa haitendewi haki na TFF katika masuala mengi

TFF ni kama mzazi ambaye anapaswa kuwa na upendo sawa kwa watoto wake wote

Hii ni taasisi iliyopewa dhamana ya kusimamia mpira wa Tanzania, hivyo haipaswi kuhusishwa na tuhuma za kuwahujumu wale inaowasimamia

Mambo haya kama yataendelea, kuna siku utatokea mgogoro mkubwa katika soka la Tanzania

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’