Leo Jumatano, klabu ya Yanga itakuwa na Mkutano na Waandishi wa Habari
Mkutano huo utafanyika Johari Rotana Hotel iliyopo Posta mtaa wa Mansfield jijini Dar es salaam
Mkutano utafanyika kuanzia saa tano kamili asubuhi. Mabingwa wa nchi wana jambo lao kubwa leo

ADVERTISE HERE