Uzinduzi wa jezi ni leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Jul 2022
Uzinduzi wa jezi ni leo

Baada ya kusaini mkataba wa udhamini na kampuni ya Sportpesa jana, leo Alhamisi Julai 28 Yanga itakuwa na tukio jingine kubwa la uzinduzi wa jezi kwa ajili ya msimu wa 2022/23

Rais wa Yanga Injinia Hersi Said alisema wanakwenda kuzindua jezi ambazo zitavunja rekodi waliyoweka katika misimu iliyopita

"Kesho (leo) Julai 28 klabu ya Yanga itatangaza jezi yake mpya kwa ajili ya msimu wa 2022/23. Itakuwa jezi bora kuliko jezi zote zilizowahi kutangazwa na klabu ya Yanga"

"Sisi ndio tunaweka standards ya jezi na sisi ndio huwa tunaivuka hiyo standard tuliyoiweka. Ubora wake utakuwa namba moja Tanzania na Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati," alitamba Hersi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
49m ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
5h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
6h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
19h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
23h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’