Bonas ya Milioni 100

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Jul 2022
Bonas ya Milioni 100

Kampuni ya Sportpesa leo wameikabidhi Yanga kitita cha Tsh Milioni 100 ikiwa ni bonas baada ya kutwaa ubingwa wa ligi kuu msimu uliopita

Tukio hilo lilifanyika baada ya kusainiwa mkataba wa kihistoria wa udhamini ambao utaishuhudia Yanga ikivuna zaidi Tsh Bilioni 4 kwa mwaka kutoka kwa Sportpesa, ambao wanaendelea kuwa wadhamini wa Yanga kwa kipindi kingine cha miaka mitatu

Kuanzia msimu ujao bonas ya ubingwa wa ligi kuu itaongezeka na kuwa Milioni 150 wakati ubingwa wa FA utawapatia Yanga bonas ya Tsh Milioni 112

Kama Yanga itatinga fainali ya kombe la FA itaondoka na kitita cha Tsh Milioni 75

Yanga inanukia fedha....!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
5h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
10h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
10h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’