Tukio la uzinduzi wa jezi za Yanga kwa ajili ya msimu wa 2022/23 litarushwa mbashara na Azam Tv kuanzia saa moja kamili usiku
Baada ya jezi kuzinduliwa, zitaanza kupatikana madukani. Yanga kupitia duka lake lililopo Makao Makuu ya klabu, jezi hizo zitaanza kupatikana hapo
Litakuwa tukio la kihistoria, kwa mara nyingine Yanga inakwenda kutoa elimu katika uzinduzi wa jezi

ADVERTISE HERE