Kaimu Mtendaji Mkuu wa Yanga Simon Patrick ameishukuru Kamati ya Utendaji kwa kumteua kushika nafasi hiyo kurithi mikoba iliyoachwa na Senzo Mazingisa ambaye Mkataba wake unamalizika leo
Aidha Simon amemshukuru Senzo kwa kipindi alichofanya nae kazi katika klabu ya Yanga, alikuwa mwalimu mzuri kwake
Jana Yanga ilithibitisha uamuzi wa Senzo kutoongeza mkataba wake unaofikia tamati hii leo na kutangaza uamuzi wa Kamati ya Utendaji kumteua Simon
ADVERTISE HERE