Yanga leo imecheza mchezo mwingine wa kirafiki Avic Town katika maandalizi ya kuelekea wiki ya Mwananchi ambayo kilele chake ni August 06 pale uwanja wa Benjamin Mkapa
Wananchi wameondoka na ushindi mnono wa mabao 9-0 dhidi ya Friends Rangers
Mabao ya Yanga yalipachikwa na Khalid Aucho aliyefunga mabao mawili, Clement Francis (kutoka U20) ambaye amepachika mabao mawili pia
Mabao mengine yamefungwa na Fiston Mayele, Lazarus Kambole, Denis Nkane, Jesus Moloko na Yacouba Songne







ADVERTISE HERE