Yanga yaunda Kamati ya Wiki ya Mwananchi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
31 Jul 2022
Yanga yaunda Kamati ya Wiki ya Mwananchi

Kamati ya Utendaji ya klabu ya Yanga chini ya Rais Injinia Hersi Said, imeunda Kamati maalum ya Wiki ya Mwananchi yenye wajumbe saba

Kamati ya Utendaji imemteua ndugu Arafat Haji kuwa Mwenyekiti wa Kamati hiyo

Wajumbe walioteuliwa kuunda Kamati hiyo ni

  • Adv Simon Patrick
  • CPA Haji Mfikirwa
  • Taji Liundi
  • QS Said Mrisho
  • Khamis Dacota
  • Christinah korosso

Wiki ya Mwananchi itazinduliwa rasmi Jumatatu, AUgust 01 2022 na kufikia kilele Jumamosi, August 06 2022

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
7h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
12h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’