Nyota wa Yanga Yannick Bangala ambaye ni mchezaji bora wa ligi kuu ya NBC katika msimu uliopita juzi aliongeza mkataba kuendelea kuitumikia Yanga mpaka mwaka 2024
Aidha Mcongomani mwingine Djuma Shabani nae aliongeza mkataba ambao pia utamuweka Jangwani mpaka mwaka 2024




ADVERTISE HERE