Jana klabu ya Yanga ilitangaza uteuzi wa CEO wa zamani klabu za Azam Fc na Mtibwa Sugar, Saad Kawemba kuwa Mkurugenzi wa Mashindano akichukua nafasi ya Thabit Kandoro ambaye Mkataba wake umemalizika
Aidha Kamati ya Utendaji ya Yanga pia ilimteua Walter Harrison kuwa Meneja wa Yanga akichukua nafasi ya Hafidh Saleh ambaye amepangiwa majukumu mengine kuwa mratibu wa timu. Harrison alikuwa Meneja wa klabu ya KMC

ADVERTISE HERE