Pale wachezaji bora wanapokutana

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Aug 2022
Pale wachezaji bora wanapokutana

Washindi wawili wa tuzo za wachezaji bora wa ligi katika msimu uliopita, wamekutana katika klabu ya Yanga

Tunamzungumzia Stephane Aziz Ki ambaye ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa ligi kuu ya Ivory Coast wakati akiwa na klabu ya Asec Mimosas msimu uliopita

Yannick Bangala yeye alikuwa mchezaji bora wa ligi kuu ya NBC akiwa na Yanga katika msimu uliopita

Wawili hao wamekutana kwenye viunga vya Avic Town ambako klabu ya Yanga imeweka kambi yake kujiandaa na msimu mpya wa mashindano

Msimu ujao tabu iko pale pale..!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’