Wananchi leo wana jambo lao pale uwanja wa Benjamin Mkapa katika kilele cha wiki ya Mwananchi
Makamu mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahman Kinana ataungana na Wananchi katika shamshamra hizo akiwa mgeni rasmi
Tamasha hilo litahitimishwa na mchezo wa Kimataifa wa kirafiki dhidi ya Vipers Fc ambao utapigwa kuanzia saa moja jioni

ADVERTISE HERE