Ndio! Wananchi wakiwa na jambo lao hakuna wa kuwazuia! Licha ya kiingilio cha chini kuwa Tsh 10,000/-, Wananchi wanaujaza uwanja wa Benjamin Mkapa
Mpaka sasa asilimia 80% tayari huku idadi kubwa ya mashabiki wakiendelea kuingia
Ndio kwanza mambo yaanza ukianza mchezo wa kina dada wa Yanga Princess dhidi ya Ilala Queens

ADVERTISE HERE